WALIOTOROSHA MANKOTENA BANDALINI KUANZA FILISIWA LEO
Vigogo ambao wanadaiwa kuwa 16 waliokwepa kulipa kodi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), baada ya
kutorosha kontena za mizigo yao kwenye Bandari Kavu (ICD) ya Azam
mwishoni mwa mwaka jana, mali zao zinaanza kukamatwa leo na kufilisiwa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni