Alhamisi, 25 Februari 2016

NAIBU WAZIRI WA UJENZI,MAWASILIANO NA UCHUKUZI AZUNGUMZA NA WAKALA WA MAJENGO(TBA)

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Edwin Ngonyani akiongea  na menejimenti ya  Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) alipowatembelea katika ofisi zao leo jijini Dar es Salaam, wakati wa   ziara ya kuzitambua tasisi zilizopo chini ya wizara yake  .




  Wafanyakazi wa   Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)  wakimsikiliza Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Edwin Ngonyani(hayupo katika picha) leo jijini Dar es Salaam, katika  ziara ya kuzitambua tasisi zilizopo chini ya wizara yake .



Hakuna maoni: