WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROF.MUHONGO AITAKA TPDC NA WABIA WENGINE KUONGEZA KASI KATIKA UWEKEZAJI WA KIWANDA CHA GESI
Waziri
wa Nishati na Madini, Profesa Muhongo ametaka kasi iongezwe katika
mradi wa ujenzi wa kiwanda cha uchakataji na usindikaji wa gesi
kimiminika unaotarajiwa kuanza mkoani Lindi mara baada ya taratibu za
maandalizi kukamilika
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni