Jumatatu, 29 Februari 2016

MABWENI YA SHULE YA SEKONDARI IYUNGA YAUNGUA NA MOTO

Askari wa Kikosi cha Zimamoto Jijini Mbeya, akiendelea na jitihada za kuuzima moto unaoendelea kuwaka na kuteketeza Mabweni ya shule ya Sekondari Iyunga jijini humo, chanzo cha moto huo bado hakijajulikana mpaka sasa, na jitihada za kuuzima zinaendelea

Hakuna maoni: