SAMMATA AKISAIDIA TIMU YAKE KATIKA MECHI YA JANA DHIDI YA CLUB BRUGGE
Leo katika mechi iliyoikutanisha timu yake ya KRC Genk dhidi ya Club
Brugge nchini Ubelgiji, mchezaji wa kimataifa Mbwana Samatta amefunga
goli moja katika ushindi wa timu yake wa magoli 3 - 2.
Hongera Mbwana Samatta.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni