Sokwe amezalishwa kwa
upasuaji wa dharura kusini Magharibi mwa Uingereza katika sehemu
uliyotengwa kwa kuhifadhia wanyama inayojulikana kama Bristol Zoo.
Mama na mtoto wa sokwe
huyo wanaendelea vyema ,sokwe huyo alizaliwa kupitia upasuaji usio wa
kawaida baada ya mama yake kuonyesha ishara za ugonjwa hatari wa
shinikizo la damu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni