Jumatano, 24 Februari 2016

GOOD NEWS KUTOKA KWA MSANI Q CHILLA

Msanii wa bongo fleva ,Q Chilla ameweka wazi kuwa siku za hivi karibuni atafunga safari kwenda Nigeria kufanya kazi zake za kimuziki ili kupanua soko.

Hakuna maoni: