Mh.Rais alipata kuwasikiliza wasanii kero zao na kuagiza zishughulikiwe kama hazitaji kushilikisha bunge,hasa lile ambalo mwakilishi wao hao wasanii Mwana FA aliombamba la vyombo vinne ambavyo ni BASATA,COSOTA,RING TURN vinavyoshughulika na wasanii kuwa katika wizara nne tofauti ambayo inawapa tabu katika kutatua kero zao nakuomba viwe katika wizara ya sanaa ,michezo na wasanii chini ya Waziri Nape.Pia Rais kagiza TRA kushughulikia kazi za wasanii ambazo azina sticker sababu zinaikosesha Serikali mapato na wasanii
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni