MSICHANA WA MTANZANIA MWENYE ASILI YA KICHINA AFANYA VIZURI KATIKA MTIHANI WA KIDATO CHANNE
Mtanzania huyu mwenye asili ya kichina anayejulikana kwa jina la CONGCONG WANG ameshika nafasi ya pili kitaifa na kupata division 1.7 akiwa na B ya somo lakiswahili akitokea katika secondari ya FEZA GIRLS
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni