Mzee wetu mpendwa jaji joseph sinde walioba kaongea na baadhi vya vyombo vya habari kuwa Rais ajae wa Tanzania watanzania wanamjua sababu watanzania wanazijua sifa za kiongozi ambaye anaweza kuiongoza tanzania hayo ni maneno ya busara ya mzee wetu mzalendo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni