Ijumaa, 16 Januari 2015

Tumeanza na mungu na lazima safari yetu ifanikiwe kwa  kuakikisha kwamba jamii yetu inakuwa kitu kimoja tunapambana wote kwa kushilikiana kila mmoja kwenye talumaa au fani yake na kuakisha wote tunafikia yale malengo tuliojiwekea na jamii yetu inaendelea kiuchumi,jamii na pia tunaendelea mkisiasa kuwa kam nchi zilizo endelea kwa sababu siasa nikitu kisicho ebukika tushikane tuendelee wote na tusimuache mtu

Hakuna maoni: