Chelsea imeitandika Noewich mabao mawili kwa moja katika moja ya michezo ya ligi kuu ya uingereza wakijikusanyia pointi 39.
Chelsea katika mchezo wa leo walionekana
kucheza kwa kujihami sana huku wakizuia sana pamoja na mtafutia
mipiraDiego Costa ili aweze kuifunga Norwich.
Kipindi cha pili Norwich walicheza mpira mzuri na kufanikiwa kupata goli dakika ya 68 kupitia Nathan Redmond na mpaka dakika ya 90 Chelsea waliondoka na pointi tatu kibindoni.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni