Kamishna
Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Alphayo Kidata akifafanua kwa
waandishi wa habari jijini Dar es salaam jinsi Mamlaka hiyo
ilivyofanikiwa kukusanya mapato kutoka trilioni 1.2 kwa mwezi Disemba
mpaka trilioni 1 na bilioni 79 kwa mwezi Januari na kwa mwezi Februari
wanatarajia kukusanya trilioni 1.013 na tayari wamefikia nusu ya malengo
waliyojiwekea.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni