RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AKIONGEA KWA HISIA YA HALI YA JUU
Ndugu zangu Watanzania, najua maisha mnayoishi, taabu mnazozipata na
matarajio yenu kwangu. Vilio vyenu ninavisikia na ninavifanyia kazi.
Lengo langu ni kuwatoa katika UMASIKINI....sitowaangusha"--- Rais John Pombe Magufuli
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni