Jumatatu, 22 Februari 2016

MJUE BINTI AMBAYE ANAKUJA JUU KUIFUNIKA FAMILIA YA SERINA WILLIUMS KWA TENIS

Heather Watson mchezaji wa mpira wa tenisi anayekuja kwa kasi na kufunika kiwango cha wanadada wa familia moja Serina Williums na ndugu zake.Leo Serina Williums ameshinda kwa mbinde na matokeo ya ukaribiano na mwanadada huyo mwiba kwenye tenisi.Familia hiyo inabidi kujipanga ili kuendelea kuweka rekodi ya familia yao.

Hakuna maoni: