Jumapili, 21 Februari 2016

MAKONDA NA HALMASHAURI YA KINONDONI

Halmashauri ya Kinondoni imemtaka Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda aache kutafuta umaarufu binafsi kwa kuingilia kazi za Halmashauri bila kuwa na mamlaka yoyote ya kutangaza masuala ya halmashauri.

Hakuna maoni: