Jumanne, 23 Februari 2016

KAMPUNI YA SAMSANG YAZINDUA SIMU MPYA NI GALAXY 7 CHEKI SIFA ZAKE

Kampuni ya kutengeneza simu ya Samsung imezindua simu yake mpya ya kisasa aina ya Galaxy S7 na Galaxy S7 Edge.
Kampuni hiyo ya kutokea Korea Kusini imezindua simu hizo mbili ilikukabiliana na upinzani mkali kutoka kwa kampuni ya simu ya Apple.

Hakuna maoni: