Ijumaa, 19 Februari 2016

HALI SI SHWALI KWENYE KUNDI LA MUSIC LA P SQUARE

Wakali hao wa Afrika na duniani wanadaiwa kurushiana maneno kwenye mitandao ya kijamii na hii ili anza mara baada ya Peter Okoye ku tweet kuwa biashara ya familia ni ngumu na baadae kaka yake na pacha wake  Paul Okoye ametumia Instagram kueleza kuwa amesikitishwa na kitendo icho.
Awali Peter alidai amesimama kufanya kazi na kaka yake, Jude Okoye ambaye anaminikika kuwa kikwanzo kwa wawili hawa ,ameonekana akipost picha ambaye Peter ameondolewa na kubaki na Paul tu

Hakuna maoni: