HABARI NZURI KWA MABACHELA HII NI STAILI WANAYOITUMIA WEZETU KWENYE NYUMBA ZAO JAPO NDOGO
Kama nyumba yako ni ndogo usihofie wala kujishtukia, kwa udogo huohuo
unaweza kupafanya home kwako pawe na mvuto kama hivi… huyu wala
hajasumbuka kuweka vitu vingi, unaweza kuweka kitanda na kochi moja
mchezo umeisha
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni