Kaimu Katibu wa Wilaya ya Sengerema Aaron L Laizer ( wa pili kushoto
ndio alimkabithi Kijiji IST yake ambapo hakuchelewa kuyatoa ya moyoni
baada ya kuichukua… >>> “Sijawahi kumiliki gari hivyo usafiri
huu utanisaidia katika shughuli zangu za uvuvi, za kifamilia na kiuchumi
kwa ujumla, nachukua fursa hii kuwaambia watanzania wenzangu waamini
kuwa Airtel inatoa magari na wao pia wanaweza kuibuka washindi.
Nawashukuru sana Airtel
kwa kuboresha maisha yangu na yawatanzania wengine walioshinda kama mimi

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni