Alhamisi, 5 Machi 2015

HII NDO SAA YA KISASA ILIYOTENGENEZWA NA HUAWEI

Kwa zaidi ya siku tatu Barcelona Hispania kumekuwa na maonyesho ya kiteknolojia duniani ambapo makampuni mbalimbali na makubwa ya dunia yamekusanyika kuonyesha ukali wao kwenye maswala ya digital.
Mpaka sasa HUAWEI wameendelea kuongoza kwa kuzimiliki headlines kubwa za dunia kutokana na bidhaa mbalimbali walizozindua ambapo leo ilikua ni zamu ya hii saa ya kisasa.
Ni saa ambayo pamoja na mambo mengine, inakupa muda kama zilivyosaa nyingine, simu yako inaweza kuwa mbali na wewe lakini hii saa ikakuonyesha nani anakupigia, inakupa utabiri wa hali ya hewa, kuna sehemu ya kukutunzia kumbukumbu za vitu unavyotaka kufanya.

Hakuna maoni: